ivyerekeye iyi ndirimbo
Kaze bashitsi rythme 2/4 ou C barré
Kwakira abashitse, abatugendeye
Amajambo y'indirimbo
Karibuni ndugu (Kaze bashitsi)
Twakusifu Bwana Bwana Bwana wa majeshi (x2) kwani ndi We uliye tuwezesha kufika wazima kwa siku ya leo (x2) Ooo
Eee Mungu uwalinde na uwahifadhi wageni wetu walio kusanyika hapa, pamoja na si sote , tuko kama vifaranga chini ya ngome na mwamba wa ko kwani Upendo wako Mungu wajaa mioyo yetu. Aaaa Iiiii
Twakushuru Bwana Mungu wetu uliyeweszesha ndugu zetu kupanda, kushuka milima na mabonde, kuvuka mitoni, bahalini na polini. Aaaa Iiii
Sisi na ndugu zetu twawakaribisha kwetu ndugu. Jisikieni kama mu nyumbani kwenu.
Mungu atawatunza Mungu atawajali Mungu atawajalia meema yake (x2) kwa upendo wake Kwani mumepanda pendo mutavuna upendo; mumepanda upendo utaota upendo, na mwangaza huu uwang'alie wengine.
Twaomba ndugu upendo huu uzidi kuongezeka na kudumu, na kuwa kama mumeya wa sinapi. Kwani tumepanda kwenye ardhi iyiyorutubishwa na Upendo wake Mungu wetu milele. Aaa Iiii
Twakusifu Bwana Bwana Bwana wa majeshi (x2) Bwana Munguututunze Mungu utuhifadhi Bwana utujali kwa neema yako (x2) kwa upendo wako
Ibitekerezo
Sangira uko iyi ndirimbo ifasha ishengero ryawe canke abaririmvyi.
Nta gitekerezo kirabaho. Ba uwambere gusangira.